KARIBUNI TENA. KARIBUNI NDANI


Ama, makala haya yatajaribu, kwanza kueleza aina ya data iliyokusanywa; pili kudhihirisha utamaduni wa Kiswahili kwa kutumia data hiyo; na tatu, kuchambua tanzu za utamaduni huo na kuonesha umuhimu wa mila na sanaajadiiya katika uimarishaji wa utamaduni wa jamii ya Waswahili wa Wilaya ya Kusini Unguja.